Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utashangaa na ze don yupo humu humu kwa saa hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hutu tupicha mweee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipooooo nawacheki tu vivuruge nyie...

Nilikuwa nimetembelewa na kakimbaumbau leo hapa ndo kameondoka. Wikendi safi ajabu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji12][emoji12]

Nasikia tu miguu ya Ngolo Kante hata sijui kinachoendelea kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
7a1ac715-97b0-423e-ab9c-3873cc720ebb.gif
 
Nipooooo nawacheki tu vivuruge nyie...

Nilikuwa nimetembelewa na kakimbaumbau leo hapa ndo kameondoka. Wikendi safi ajabu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji12][emoji12]

Nasikia tu miguu ya Ngolo Kante hata sijui kinachoendelea kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1381344
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgeni atakuwa amepata shida sana maana muda wote macho kwenye simu kufuatilia matukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom