Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Duuh! Basi nakuomba usitishe hili zoezi la kutoa updates za yaliyojiri mchana maaa unakua kama unagusa penye jeraha 😔Back2back mzee, halaf full hakuna vi emoj vya uson
Duuh! Basi nakuomba usitishe hili zoezi la kutoa updates za yaliyojiri mchana maaa unakua kama unagusa penye jeraha 😔Back2back mzee, halaf full hakuna vi emoj vya uson
Hakika.Kwema mkuu...
Nahisi kama nimepitwa na vingi leo. Sema tu kwa vile na mimi nimefanya vingi basi ngoma droo. Natumaini kila mmoja kawa na wikendi njema [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1381348
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi taarifa uchungu wake anaujua stela
Asipo nenepa leo basi hawezi tenaWeekend yake safi kabisa
Unamuona anavyoBold tukio? 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaua mtuu ujue
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli nitafurahi sana, kwanza acha nitangulize Ahsante kabisa
Nyota yako imewaka Anko yani mazali yanakuangukia kichiziMida ya mchana nilitoka mitaa ya Twitter, vichambo vilikuwa vingi nikaamua kuondoka, kukatisha mitaa ya kwetu nikakuta kweupee,raia kama wawili wakawa wanajimwaya mwaya watakavyo... Walijiachia kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeh!Mida ya mchana nilitoka mitaa ya Twitter, vichambo vilikuwa vingi nikaamua kuondoka, kukatisha mitaa ya kwetu nikakuta kweupee,raia kama wawili wakawa wanajimwaya mwaya watakavyo... Walijiachia kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro,
Mzee mwenzangu una upendo mkubwa sana[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Akubali tu kunidai apande uber kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23] hashtag ya mwisho sio poa
Imejaa ukatili ndani yake 😀[emoji23][emoji23][emoji23] hashtag ya mwisho sio poa
Ukikutana na hii kitu roho inaumaaaaa[emoji16][emoji16]