carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nipooooo nawacheki tu vivuruge nyie...Utashangaa na ze don yupo humu humu kwa saa hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hutu tupicha mweee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utashangaa na ze don yupo humu humu kwa saa hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hutu tupicha mweee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23].Hahah nmeiona, leo mzee mwenzangu anahali mbaya sana, bora apate ubarikio
Yanga β[emoji23][emoji23][emoji23] hatudaiani sasa hv
Hahah! Anko taarifa kama hizi huwa zinaumiza sana Moyo
Back2back mzee, halaf full hakuna vi emoj vya usonNasikia vilidropishwa vitu heavy humu
Weekend yake safi kabisaYanga [emoji818]
Man U[emoji818]
Madeni[emoji818]
Mungu akupe nini Macmuga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Back2back mzee, halaf full hakuna vi emoj vya uson
Kwakweli nitafurahi sana, kwanza acha nitangulize Ahsante kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakupandisha uber usijali
Mida ya mchana nilitoka mitaa ya Twitter, vichambo vilikuwa vingi nikaamua kuondoka, kukatisha mitaa ya kwetu nikakuta kweupee,raia kama wawili wakawa wanajimwaya mwaya watakavyo... Walijiachia kwa kweliHahah! Anko taarifa kama hizi huwa zinaumiza sana Moyo
Kwema mkuu...Jamanii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu kwema? Habari ya Jumapili?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro,Yanga [emoji818]
Man U[emoji818]
Madeni[emoji818]
Mungu akupe nini Macmuga?
Mzee mwenzangu una upendo mkubwa sanaπππππHahah nmeiona, leo mzee mwenzangu anahali mbaya sana, bora apate ubarikio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipooooo nawacheki tu vivuruge nyie...
Nilikuwa nimetembelewa na kakimbaumbau leo hapa ndo kameondoka. Wikendi safi ajabu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji12][emoji12]
Nasikia tu miguu ya Ngolo Kante hata sijui kinachoendelea kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1381344
ππππ[emoji23][emoji23].
#daladalayakimbokahii
#leoachaalalenamaumivutu
[emoji23][emoji23][emoji23] hashtag ya mwisho sio poa[emoji23][emoji23].
#daladalayakimbokahii
#leoachaalalenamaumivutu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaua mtuu ujue