Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mida ya mchana nilitoka mitaa ya Twitter, vichambo vilikuwa vingi nikaamua kuondoka, kukatisha mitaa ya kwetu nikakuta kweupee,raia kama wawili wakawa wanajimwaya mwaya watakavyo... Walijiachia kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeh!
Kumbe ulikuwepo unachungulia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…