Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mshambuliaji Anthony Martial alifunga bao pekee la Manchester United katika dakika 27, akiunganisha vizuri mpira wa adhabu uliopigwa na Bruno Fernandes.
Hii game ilichezwa lini? Huku kwenye Sayari ya Mars hatujapata hii habari. 😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Manchester United imeisaidia Liverpool katika kutimiza lengo lake la kutwaa ubingwa mapema baada ya kuifunga Manchester City kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Old Trafford.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheiiiiiHii game ilichezwa lini? Huku kwenye Sayari ya Mars hatujapata hii habari. 😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
You're making news to me, neighbor. Mimi hapana jua hii habari! 😀hello my neighbors... how are you doing... are you feeling okay... okay... sterling.. okay...Sergio.. okay... Silva.. okay😂😂😂😂 bradha,davet,potiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You're making news to me, neighbor. Mimi hapana jua hii habari! 😀
🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️Alamsiki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
😂😂😂😂 humu ndani watu wengi wanakwepa sana vitu Domestic lakini kumbe wanafatilia.....Wanajifanya wao ni Yanga na wakati wanasemaga hawashabikii ligi za ndani 😀😀😀😀
😀😀😀😀 Embu shusha kwanza presha broLabda mngehinda bao 10 ndiyo mngekalia kiti hiki[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]View attachment 1381407