Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakusalimu bro
[emoji137]Usilie sana
IMG-20200308-WA0027.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Introvert eeeh!

Kumbe tuko wengi. Socializing aisee mtihani sana na hii imenicost mno kwenye networking. Afadhali hata nilipokuwa bado natandika bia walevi wenzangu walikuwa wananipa kampani. Sasa yaani social life yangu inachezea 20% lakini nikiwa humu mitandaoni weee maneno kibao eti Ngosha The Don kumbe in real life ni ziro skweadi. Sad !!!
Mimi nikifika hatua uliyopo sitapatwa stress.
Shida inakuja huna kitu na umeng'ang'ana na uintrovert

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom