myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!....Introvert eeeh!
Kumbe tuko wengi. Socializing aisee mtihani sana na hii imenicost mno kwenye networking. Afadhali hata nilipokuwa bado natandika bia walevi wenzangu walikuwa wananipa kampani. Sasa yaani social life yangu inachezea 20% lakini nikiwa humu mitandaoni weee maneno kibao eti Ngosha The Don kumbe in real life ni ziro skweadi. Sad !!!