myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!....Introvert eeeh!
Kumbe tuko wengi. Socializing aisee mtihani sana na hii imenicost mno kwenye networking. Afadhali hata nilipokuwa bado natandika bia walevi wenzangu walikuwa wananipa kampani. Sasa yaani social life yangu inachezea 20% lakini nikiwa humu mitandaoni weee maneno kibao eti Ngosha The Don kumbe in real life ni ziro skweadi. Sad !!!
Kwa kweli Yanga wanafuraha sana...Kumfunga bingwa ajae ni raha
Tukikupa muda wa kutoa baraka hutaki kutokea
Jamani umeongea kwa huruma kweli. Dah 😀Kama mnaninyima semeni tu.
Saa 6 usiku mnataka kunigeuza mwanga?
Huo muda kwa kweli bora tu nipitwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Walaaaa haunisumbui.Hehehehehe pole
Duh! mambo hayo
😂😂😂😂😂😂😂Jamani umeongea kwa huruma kweli. Dah 😀
Tutabadili muda usijali😂😂😂😂😂😂😂
Mkiendelea kuweka muda huo wekeni tu.Tutabadili muda usijali
Hahah! Nimekubariki lakini umekua mzitoMkiendelea kuweka muda huo wekeni tu.
Mimi sitoweza kuamka😀
Nikiomba unaninyima.Hahah! Nimekubariki lakini umekua mzito
🤣🤣🤣🤣🤣 tunapishana tuNikiomba unaninyima.
Nikiondoka unaweka.
Kwa kweli Baki nayo tu🤣