Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kakufanyaje tena shemeji ho
Amezidiwa kete kwa Baby S na kijana mmoja anaitwa Uniq. Baby S ni dadangu na mimi nakusanya ng'ombe wa mahari kama nilivyofanya kwa Sammyluv na Nsamaka (nasuburi kwa Numbisa). Nilimuuliza Uniq kama ana uwezo wa kutoa ng'ombe zaidi ya 50 sasa naona huyu kapaniki. Aende akalalamike kwa Baby S. Mimi na wewe tunahusikaje? Press the ignore button please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…