Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante kwa ushauri mkuu. Ulipofurushwa kwa Nsamaka na kile kijamaa kuhamia katika nyumba uliyoijenga mwenyewe niliona mateso yako mpaka ulipogeuka na kuanza kuimba gospo. Mapenzi yanauma ati!
Namshukuru Mungu kupitia kwako ukatupatanisha.Nayajua maumivu ya kuachwa tena mke kukwapuliwa na mibazazi hii,pambana tu,utayashinda.Nimependa ulivyo mkabidhi moyo wako.
 
Back
Top Bottom