Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CB27A884-E262-4B6B-AB19-A6CA22915932.jpeg
 
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke
anaekupenda kiukweli.

Mwanamke anaekupenda
kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote au kukuchukulia kama chanzo cha mapato au kitega uchumi chake bali
atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako
na 'attention' yako kwake.
Wewe binti siku ngapi hizi umekua ukishusha madini ya msingi sana
 
Back
Top Bottom