Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo, hivi sasa hatumii dawa ya aina yoyote ya kuongeza nguvu za kiume.
Naye Ashura Saleh alibainisha kuwa mpenzi wake hutumia zaidi hiyo dawa, lakini haoni kama inasaidia kitu chochote, huku akionesha kuwa mumewe huyo ameshawahi kutumia aina nyingine ya dawa za asili iitwayo Mungungu, ambayo ilimsaidia kwa siku za mwanzo tu.
 
Mimi ninaona ni vema tu aache kwa kuwa kwanza ninaona ni kama kawaida tu akitumia au asipotumia ila sijui ni kwa nini anapenda kutumia hizo dawa, na hiyo Mungungu akiitumia inakuwa na nguvu siku hiyo hiyo aliyotumia,” alieleza Ashura alipozungumza na gazeti hili.
 
Chieneme Martin mchezaji wa timu ya Nasarawa United ya Nigeria amefariki Dunia uwanjani
FB_IMG_1583836787792.jpeg
 
Nashukuru kiasi furani umeenda sawa.
Ilikuwa hivi.
Simba ilikuwa na mfadhili aitwaye Azim Dewji.
Wakati tunaingia kwenye mashindano hayo kombe la CAF, Azim Dewji aliwaweka kitako wachazaji, akaawaambia kwamba kutoka kwenye mgao wao wa mapato ya mlangoni (viingilio) atamfungulia kila mmoja account, kwa hiyo kila mmoja fungu lake litawekwa hapo, kwamba wajitahidi mpaka wachukue Ubingwa.
Wakichukua ubingwa atawaongezea na hivyo kila mmoja atamnunulia gari pick up aina ya KIA. Gari hizo wakati huo zilikuwa maarufu kwa usafiri wa daladala, ziliitwa jina la utani "Chai Maharage"
Ahadi ilitolewa baada ya mechi ya kwanza.
Mechi ya kwanza ilichezwa jijini Mwanza na Freviaro ya Msumbiji.
Baadaye tukaitoa Mbabane Highlanders ya Swaziland na kisha USMA al Harrach ya Algeria na baadaye Sportivo Klabu Aviacao.
Baada kuitoa Avicao ya Angola ambayo ilisifika sana wakati huo, hasa wachezaji wake kama Abilio, Lidenge, Kalekiwa Kaleki, na hasa hasa golikipa wao Kanka Wemba aliyekuwa raia wa Zaire.
Golikipa huyo alisifika kwa uwezo wake lakini iliwachukua Simba dakika sita tu kumfunga goli la kwanza kwa goli la Edward Chumila.
Aviacao walifungwa bao 3-1, Dsm.
Mechi ya maridhiano nchini Angola iliisha kwa sare ya 0-0.
Simba walicheza fainali na Stella Abidjan ya Ivory Coast.
Kwenye mechi ya kwanza ya fainali iliyochezwa jijini Abidjan matokeo yalikuwa 0-0.
Mechi ya pili iliyochezwa uwanja wa taifa kwa sasa uhuru Simba ilifungwa goli 2-0.
Magoli yote yalifungwa na Boli Zozo.
Kikosi cha Simba kilikuwa cha wazawa watupu.
1.Mwameja Mohamed (Tanga)
2.Kasongo Athumani (Tanga)
3.Deo Mkuki (Mwanza)
4. Godwin Aswile (Mbeya)
5.George Masatu (Mara)
6. Hussein Marsha. (Mwanza)
7.Abdul Mashine. (Dsm)
8. Ramadhani Leny, (Rukwa)
9.Edward Chumila. (Moro)
10. Malota Soma (Moro)
11. Thomas Kipese. (Dsm)
Sub.
12.Often Martin (Mbeya)
13.Rashidi Abdaalah (Mwanza)
14. Fikiri Magoso (Moro)
15.Iddi Selemani (Dsm)
16. Damian Kimti
17. Razak Yusuf (Tanga)
Kocha Abdallah Kibaden "King"

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yaliyoshiba. Ya mtu aliyeshuhudia laivu. Siyo kama ya maandaeitini ya kuokoteza okoteza huku na huko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom