moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahah! Walinishangaza sana vile jamaa walijipanga kuzuia ile free kick sikujua kama ni mbinu inazinduliwa 😂😂😂Mbinu bomba sana ila inakera[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119] bro upo vizuri
Kibadeni King Mungu azidi kumbariki huyu mzee, alikuwa kocha wangu pale JKT Tanzania kwenye kikosi cha Under 20
Hahahahaha watu wabunifuHahahah! Walinishangaza sana vile jamaa walijipanga kuzuia ile free kick sikujua kama ni mbinu inazinduliwa 😂😂😂
Kuna hii nyingine ilizinduliwaga ya wachezaji wengine kulala chini ya ukuta ili kuzuia asipitishe mipira chini ya miguu
View attachment 1382849