Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
M.A.PHabari za hivi punde.
Msanii wa maigizo aliyetamba sana kwenye "Bongo Dar es salaam" Bakiboban amefariki Dunia View attachment 1383033
Wewe binti siku ngapi hizi umekua ukishusha madini ya msingi sanaSio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke
anaekupenda kiukweli.
Mwanamke anaekupenda
kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote au kukuchukulia kama chanzo cha mapato au kitega uchumi chake bali
atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako
na 'attention' yako kwake.
R.I.PHabari za hivi punde.
Msanii wa maigizo aliyetamba sana kwenye "Bongo Dar es salaam" Bakiboban amefariki Dunia View attachment 1383033
Hahahaha umesifia kwa style ya ajabuWewe binti siku ngapi hizi umekua ukishusha madini ya msingi sana
🤣🤣🤣Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize
wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha
zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli
yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha mwishowe uambulie kimeta a. k. a ukimwi
Punguzeni
Hahah!Ujumbe toka kwa Afande SeleView attachment 1383058