Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni nini? 😀
👏👏👏👏Staa huyu juzi kati hapa amefanikiwa kucheza mechi yake ya 1,000 ya kikosi cha kwanza katika ngazi ya klabu na timu ya taifa ya Ureno, huku akiwa amefunga mabao 725 katika mechi hizo.
Hehehe cheii,Ni nini? 😀
Vitu vyataifishwa
Mwaka 2018, wakati akipitia kipindi kigumu kifedha, Mwendesha mashtaka wa Brazil na polisi walivamia nyumbani kwake na kutaifisha baadhi ya mali zake, yakiwemo magari ya kifahari na michoro ya pesa ndefu. Mwezi mmoja kabla ya kuvamiwa na polisi, hati yake ya kusafiria ilitaifishwa na ikagundulika kuwa alikuwa na Pauni 5 milioni tu kwenye akaunti yake na hakuwa na uwezo wa kulipa deni lililotokana na mfuko wake wa kijamii.
Namhurumia jamaa alikua juu sana kadondoka vibayaBinti Mpole mchambuzi naona
Ndo jana nilikuwa namjenga. Aachane na mambo ya mahusiano, ana hela ya kutosha, nimemshauri azitumie kufanya starehe zingine mahali popote apatakapo.Aaah huyo rafiki angejiongeza ukaelewa somo. Ajifahidi kuacha kukutupia lawama anko wetu,maisha ya lawama huwa sio mazuri