myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maridadi sana..
Maridadi sana..
Makusanyo hayo..
🤸♂️🤸♂️🤸♂️😀Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke
anaekupenda kiukweli.
Mwanamke anaekupenda
kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote au kukuchukulia kama chanzo cha mapato au kitega uchumi chake bali
atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako
na 'attention' yako kwake.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]AnkoAnko si aunt yupo jaman. Kila siku yanakukuta tu hahaha
Aaah huyo rafiki angejiongeza ukaelewa somo. Ajifahidi kuacha kukutupia lawama anko wetu,maisha ya lawama huwa sio mazuri[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Anko
Ni rafiki yangu wa kawaida japo ni wa karibu tangu tupo chuo.
Hisia zetu zilipishana, yaani mimi nilichelewa kung'amua, baadae kila mtu akaenda zake, sehemu aliyo fikia sio sahihi kwake.
Ni mengi sana Anko,ila kiuhalisia anapitia magumu na lawama zinakuja kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app