Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huku kukiwa na taarifa kuwa alikuwa na deni lingine la Pauni 1.69, lakini taarifa hizo hazikuthibitishwa na mahakama kutokana na sheria ya usiri wa mtuhumiwa, huku wakili wake naye akigoma kuzungumzia suala hilo.