Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mijengo 57 yataifishwa
Kiangazi mwaka jana, mijengo 57 ya Ronaldinho ilitaifishwa na serikali na hati yake ya kusafiria ya Brazil na ile ya Hispania zote zilitaifishwa.
Kama hajaolewa na umri umeenda ngumu sana kumove on anajiona hajakamilika,anajilaumu hivi na vileNdo jana nilikuwa namjenga. Aachane na mambo ya mahusiano, ana hela ya kutosha, nimemshauri azitumie kufanya starehe zingine mahali popote apatakapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliona Messi ana akili kaoa zake na kujituliza. Ila wabrazil ndivyo walivyo si unaona neymar anavyochezea maishaDaah Dinyo anasa zimemponza ndiyo maana kuna kipindi alikiri Messi ni Bora kuliko yeye
Very Sad
Ndo jana nilikuwa namjenga. Aachane na mambo ya mahusiano, ana hela ya kutosha, nimemshauri azitumie kufanya starehe zingine mahali popote apatakapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namhurumia jamaa alikua juu sana kadondoka vibaya
Ana 41Kama hajaolewa na umri umeenda ngumu sana kumove on anajiona hajakamilika,anajilaumu hivi na vile
Sana tu. Ndo maana wengi wanakimbilia makanisa ya kilokoleAna 41
Ukimwona utadhani ana 30.
Wanawake mna pitia magumu mengi sana yatokanayo na mahusiano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hajaolewa na umri umeenda ngumu sana kumove on anajiona hajakamilika,anajilaumu hivi na vile
Aliona Messi ana akili kaoa zake na kujituliza. Ila wabrazil ndivyo walivyo si unaona neymar anavyochezea maisha
Mkubwa hawezi kumuiga mdogo ujue. Ila angetulizana bila starehe hata baada ya kustaafu angepata ajira ya ufundi benchi la timu yoyoteWabrazil wengi wanapenda anasa sana pia hawana usimamizi mzuri, ameshindwa kumuiga hata Messi kutulia na mpira Tu
Hakika hataweza. Maana nilivyo mwambia hivyo amelia sana. AnanilaumuBro ushauri Mzuri sana umempa [emoji1545][emoji1545]
Swali je ataweza
Kabisa naye Taratibu anaenda kupotea shida zao sijui ni zipi kwa kweli
Mkubwa hawezi kumuiga mdogo ujue. Ila angetulizana bila starehe hata baada ya kustaafu angepata ajira ya ufundi benchi la timu yoyote
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kama ile Bendi ilivyo imba kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa, wakati huo huo ndoa ni ndoano
KweliInabidi tumtumie kibao cha 20% Tamaa mbaya apate darasa kidogo, kweli kabisa hata angeomba ukocha team B pale Lamasia angepata