myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jiraaniiiii...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi una malastborn wengi.... mwisho wa ulastborn ni miaka mingapi
Maridadi sana...
Swafiiii
Ngoja usife kwanza wacha tukutafutie...... Embu tuelezee kidogo kuna nini?Hi guys,
Popote mtakapomuona Bro SHIMBA YA BUYENZE nisaidieni kumuambia 'bado robo saa mi nife'..!
La rohoni [emoji180][emoji178][emoji179]Hi guys,
Popote mtakapomuona Bro SHIMBA YA BUYENZE nisaidieni kumuambia 'bado robo saa mi nife'..!
Kazi ipo...Huu uzi una malastborn wengi.... mwisho wa ulastborn ni miaka mingapi
Hi guys,
Popote mtakapomuona Bro SHIMBA YA BUYENZE nisaidieni kumuambia 'bado robo saa mi nife'..!
Huu uzi una malastborn wengi.... mwisho wa ulastborn ni miaka mingapi
Akhsante kwa jibu zuri[emoji3526]Ulastborn unaisha tu pale bi mkubwa anapopata mtoto mwingine.
Vinginevyo unaweza kuwa last born mpaka kufa
😂 😂 😂 😂Ngoja usife kwanza wacha tukutafutie...... Embu tuelezee kidogo kuna nini?
Zinatibu Corona nini?Likesssss ,uzi wa kupeana likes hapa ni mtakuja tu
😂😂😂La rohoni [emoji180][emoji178][emoji179]
Popote ulipo The Don moyo wa mtu umegoma kusukuma damu
Sent using Jamii Forums mobile app