Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msimu uliopita ulikuwa wa furaha
FB_IMG_1583967867081.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wachaga nasikia hawako romantic kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wako bize kutafuta pesa romance ya nini kama siyo kupoteza muda tu? Na romance inahusu jinsia zote. Wanawake wa hilo kabila wako romantic?

Na ili mtu awe romantic kwako inabidi afanye nini?
 
La rohoni [emoji180][emoji178][emoji179]
Popote ulipo The Don moyo wa mtu umegoma kusukuma damu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huyu ni kama dadangu wa damu kabisa na ni mmoja wa wanawake wa shoka wachache ninaowafahamu hapa JF...Very rare and extremely exceptional !!!
 
Back
Top Bottom