Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwakuwa ndiyo hao hao ambao mara nyingi wanakupa furaha, siku tukifungwa ni vema tuungane nao.
Ndiyo maana ya kaulimbiu ya " you I'll never walk alone"
Mabeki na kipa ******* Sana[emoji51].
Nimelala dk ya 65 tulikuwa na moja Bila.
Muda mchache yameachia mabao yote hayo[emoji26][emoji26].

Asubuhi nasikia habari kwenye redio tumetolewa
Hadi usingizi ukakata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…