Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
Mdogo wangu unajua maneno magumu magumu siku hizi.??Mabeki na kipa ******* Sana[emoji51].
Nimelala dk ya 65 tulikuwa na moja Bila.
Muda mchache yameachia mabao yote hayo[emoji26][emoji26].
Asubuhi nasikia habari kwenye redio tumetolewa
Hadi usingizi ukakata
Sent using Jamii Forums mobile app