The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀 Nakuja sasa hiviMkate na Mayai King ake[emoji39]
Kwani unakulaga mihogo.? [emoji2088]
Mechi ya watford kachomesha goli mbili lakini watu wanamlaumu Lovren
Binti mpole Atakusaidia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanichongea nije kuchambwa sio?
Mtuwache[emoji23][emoji23][emoji23]Salah wa siku hiziView attachment 1385366
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Mdogo wangu unajua maneno magumu magumu siku hizi.??
😀😀😀😀
Kila kitu unasingizia humu
Acha kumsingizia bro
Ila sawa tuUna safari ndefu sana kuzijua kanuni za mchezo wa soka.
Ila usikate tamaa utazielewa tu
Duuh! Hii kali sasa
Umesahau juzi ulivyowatukana wale mchele wako man City?Duuh! Hii kali sasa
Mwenyewe nimeshangaa 😀Acha kumsingizia bro
😃 Sasa na wewe ungemalizia tu kama mimi
Ili niwatukane vizuri au Sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2] Sasa na wewe ungemalizia tu kama mimi