Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona wacheza rede bana mpaka mnapaniki sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Mabeki na kipa ******* Sana[emoji51].
Nimelala dk ya 65 tulikuwa na moja Bila.
Muda mchache yameachia mabao yote hayo[emoji26][emoji26].
Asubuhi nasikia habari kwenye redio tumetolewa
Hadi usingizi ukakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasafiri mfike salama salimini..