Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
*Serie A pia
ππππ niliona uchungu wake ulianza pale hukumuweka kwenye list ya wanachama, alivyochwa na gari basi ndio uchungu mara 100[emoji23][emoji23]
Ankoo mviziaji sana
Jana katoa kauli ya uchungu sanaaa
Nilipata ushauri wa kitaalamu kwamba nipate kulala muda wa kutosha hivyo nisipo lala mchana basi usiku nalala mapema kama ilivyokuwa jana........ Naamka asubuhi naona manyoya tu kwakweli nimeumia sana πYaani wewe tumekuita sana jana.
Ulikuwa wapi??
Yaani hadi anne kaona jana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niliona uchungu wake ulianza pale hukumuweka kwenye list ya wanachama, alivyochwa na gari basi ndio uchungu mara 100
Hahah! π[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe anakwambia kanyanyaswa kihisia
Nikiwa kama mwanachama kindaki wa CCUB napenda kukupa pole za kuachwa na uber ya jana vilevile naomba uendelee kuufanyia kazi ushauri wa kitaalam.Nilipata ushauri wa kitaalamu kwamba nipate kulala muda wa kutosha hivyo nisipo lala mchana basi usiku nalala mapema kama ilivyokuwa jana........ Naamka asubuhi naona manyoya tu kwakweli nimeumia sana [emoji3]
Siamini kama CCUB hatupendani kiasi hichi ππNikiwa kama mwanachama kindaki wa CCUB napenda kukupa pole za kuachwa na uber ya jana vilevile naomba uendelee kuufanyia kazi ushauri wa kitaalam.
Nitamuita ninge awe anakuja kukupa samare ya matukio[emoji23][emoji23]
Alafu siunakumbuka yale machungu yangu bado hujayapoza? πNikiwa kama mwanachama kindaki wa CCUB napenda kukupa pole za kuachwa na uber ya jana vilevile naomba uendelee kuufanyia kazi ushauri wa kitaalam.
Nitamuita ninge awe anakuja kukupa samare ya matukio[emoji23][emoji23]