Kwanini?
Kuna post fake ya haland insta ikionyesha haland anawadiss Psq kumbe sio sasa akina neymar wamekurupuka kulipiza kisasiKwanini?
Jana kabla ya match haland alipost picha snapchat caption ikisomeka “My city not yours” akawatag neymar na mbappe and asked if they were readyKwanini?
Sasa ulale mapema kama jana[emoji23][emoji23]Ndio mana nakupendaga [emoji3]
[emoji23][emoji23]Tunaomba msemaji mpya huyu ninge hatumtaki maana maelezo yake yanaumiza sana wanachama wenzake
Kuna sehemu wanasema ni fakeJana kabla ya match haland alipost picha snapchat caption ikisomeka “My city not yours” akawatag neymar na mbappe and asked if they were ready
Sio fake mkuuKuna sehemu wanasema ni fake
Unataka kuishusha kupitia torrent au telegram nikupatie channel ya huko?ningendako naomba link ya sistas tele siipati na popcorn pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] BroMnafurahisha sana aisee. Mtu kama hawajui anaweza kudhani kweli mlikuwepo kumbe 1992 wengine ama ndo mlikuwa mnakamua makimba kwenye nepi au mlikuwa hata hamjulikani mliko...
Acheni kujifaragua bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Telegram nipe channelUnataka kuishusha kupitia torrent au telegram nikupatie channel ya huko?
Asante bro, asante sana kwa historia nzuri kama hii...Nashukuru kiasi furani umeenda sawa.
Ilikuwa hivi.
Simba ilikuwa na mfadhili aitwaye Azim Dewji.
Wakati tunaingia kwenye mashindano hayo kombe la CAF, Azim Dewji aliwaweka kitako wachazaji, akaawaambia kwamba kutoka kwenye mgao wao wa mapato ya mlangoni (viingilio) atamfungulia kila mmoja account, kwa hiyo kila mmoja fungu lake litawekwa hapo, kwamba wajitahidi mpaka wachukue Ubingwa.
Wakichukua ubingwa atawaongezea na hivyo kila mmoja atamnunulia gari pick up aina ya KIA. Gari hizo wakati huo zilikuwa maarufu kwa usafiri wa daladala, ziliitwa jina la utani "Chai Maharage"
Ahadi ilitolewa baada ya mechi ya kwanza.
Mechi ya kwanza ilichezwa jijini Mwanza na Freviaro ya Msumbiji.
Baadaye tukaitoa Mbabane Highlanders ya Swaziland na kisha USMA al Harrach ya Algeria na baadaye Sportivo Klabu Aviacao.
Baada kuitoa Avicao ya Angola ambayo ilisifika sana wakati huo, hasa wachezaji wake kama Abilio, Lidenge, Kalekiwa Kaleki, na hasa hasa golikipa wao Kanka Wemba aliyekuwa raia wa Zaire.
Golikipa huyo alisifika kwa uwezo wake lakini iliwachukua Simba dakika sita tu kumfunga goli la kwanza kwa goli la Edward Chumila.
Aviacao walifungwa bao 3-1, Dsm.
Mechi ya maridhiano nchini Angola iliisha kwa sare ya 0-0.
Simba walicheza fainali na Stella Abidjan ya Ivory Coast.
Kwenye mechi ya kwanza ya fainali iliyochezwa jijini Abidjan matokeo yalikuwa 0-0.
Mechi ya pili iliyochezwa uwanja wa taifa kwa sasa uhuru Simba ilifungwa goli 2-0.
Magoli yote yalifungwa na Boli Zozo.
Kikosi cha Simba kilikuwa cha wazawa watupu.
1.Mwameja Mohamed (Tanga)
2.Kasongo Athumani (Tanga)
3.Deo Mkuki (Mwanza)
4. Godwin Aswile (Mbeya)
5.George Masatu (Mara)
6. Hussein Marsha. (Mwanza)
7.Abdul Mashine. (Dsm)
8. Ramadhani Leny, (Rukwa)
9.Edward Chumila. (Moro)
10. Malota Soma (Moro)
11. Thomas Kipese. (Dsm)
Sub.
12.Often Martin (Mbeya)
13.Rashidi Abdaalah (Mwanza)
14. Fikiri Magoso (Moro)
15.Iddi Selemani (Dsm)
16. Damian Kimti
17. Razak Yusuf (Tanga)
Kocha Abdallah Kibaden "King"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa cha mwendawazimu hakikuanzia hapo.
Mwaka 1986 kwenye ufunguzi wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na kati.
Mashindano hayo yalifanyika Tanzania na mwenyeji akiwakilishwa na Yanga.
Ikumbukwe Tanzania ilikuwa ndiyo nchi ya kwanza kwa timu yake ya Simba kubeba Kombe hilo kwa mara ya kwanza mwaka 1974 na baadaye Yanga mwaka uliofuata.
Kuanzia hapo Tanzania ilipotea kabisa kwenye mashindano yote ya kimataifa.
Kwahiyo kwenye uzinduzi huo Mwinyi akiwa na mwaka madarakani aliwaonya viongozi wa FAT na michezo mingine wasiifanye Tanzania kuwa kichwa cha mwendawazimu ambacho kila mlevi anajifunzia kunyoa.
Ujumbe huo ulifanya Yanga ipambane kufa na kupona mpaka ikafika fainali.
Na baada kufungwa bao 2-0 mpaka dakika 75 na el Mereikh ya Sudani, Yanga kupitia kwa mchezaji wake chipukizi wakati huo Abubakar Salum "sure boy" ilisawazisha mabao yote na kuja kupoteza mchezo kwa penati.
Mwaka 1991 Simba ilishinda kombe hilo.
Rais mzee Mwinyi aliwaalika Ikulu kula nao chakula cha mchana na kisha akasema "kuanzia leo nafuta kauli yangu ya Tanzania kuwa kichwa cha mwendawazimu" hiyo ilikuwa ni 1991 bro.
Na mwaka uliofuta 1992 Simba ilitetea Ubingwa wake kwa kuifunga Yanga kwenye fainali ya kukata na shoka iliyopigwa Uwanja wa Amani Zanzubar
Asante Numby!Kuhusu undani kama Al Kasusu ni kweli inasaidia kama alivyodai muuzaji wake, mmoja kati ya watumiaji waliozungumza na gazeti hili, alibainisha kuwa kwa upande wake ilimsaidia siku ya kwanza alipoitumia, lakini haoni kama inamsaidia zaidi, isipokuwa yupo kwenye uwezo wake wa kawaida.
Hahah! Haya mambo wakati mwingine yanaongeza radha ya mchezo....Kuna post fake ya haland insta ikionyesha haland anawadiss Psq kumbe sio sasa akina neymar wamekurupuka kulipiza kisasi
Jana kabla ya match haland alipost picha snapchat caption ikisomeka “My city not yours” akawatag neymar na mbappe and asked if they were ready
Follow 🇸ᴇʀɪᴇs🇧ᴀʀɴ on Telegram: 🇸ᴇʀɪᴇs🇧ᴀʀɴTelegram nipe channel