moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mbappe still hajakaa room moja na hao wakina Ronaldo, ila Haaland kufikia wakina Mbappe inawezekana kwasababu wale ni upper middle class players kinachohitajika ni muda na matunzo kama ulivyosema.....Wakati mbappe anaibuka watu walikua na huu msemo wa kutomuweka rum moja na ronaldo au messi ila haland anaweza fika mbali kama hatatawaliwa sana na meneja wake. Cheki pogba nowdays story juu yake kwisha
Mimi nataka upitwe halafu mzee mwenzio akupe samare roho ikuume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona hunitaki yani unanifukuza fukuza tu
Hahah! Unataka aniumize kila siku wakati alishaniumiza 😂😂Mimi nataka upitwe halafu mzee mwenzio akupe samare roho ikuume[emoji23][emoji23]
Awe na heshimaTimu nzima kisa kakijana ka 19yrs daah
Asante bro, asante sana kwa historia nzuri kama hii...
Shukrani bro