myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:32
Hahah! Nitalala mchanaSasa ulale mapema kama jana[emoji23][emoji23]
Hahah! Haya mambo wakati mwingine yanaongeza radha ya mchezo....
Haaland ni mchezaji ambaye anakuja vizuri sana kwenye ulimwengu wa soccer lakini naona bado anahitaji muda wa kutosha kujipambanua binafsi siwezi kumuweka room moja na Mbappe au Neymar.....
Kuna post fake ya haland insta ikionyesha haland anawadiss Psq kumbe sio sasa akina neymar wamekurupuka kulipiza kisasi
Hahah bora ninge[emoji23][emoji23]
Huyu ndo mzuri maana atakufanya usi miss vikao
Au tumpe usemaji ankoo??
Ubarikiwe sana[emoji120][emoji120]Follow 🇸ᴇʀɪᴇs🇧ᴀʀɴ on Telegram: 🇸ᴇʀɪᴇs🇧ᴀʀɴ
Basi ninge kapita bila mpinzani[emoji16][emoji16]Hahah bora ninge
Hahah! Nitalala mchana
Timu nzima kisa kakijana ka 19yrs daahWamenishangaza sana Aisee
😂😂😂😂 mbona hunitaki yani unanifukuza fukuza tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Lala usiku bhana
Hahah! SawaBasi ninge kapita bila mpinzani[emoji16][emoji16]