Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanilize kina moud ambao hawajui hata kubishana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nililie mapenzi mie[emoji1787]
Unajua Mimi ninaweza kulia hata kwa furaha...Jambo likinifurahisha ama nikasoma sehemu pakagusa hisia zangu nalia.
Mfano juzi nimeona picha ya carba,nikawa nimefurahi,machozi yakanitoka..
Nilivyoona picha yako nilifurahi nikajikuta machozi yamenitoka..
Nikisoma charting zenu hapa zikanifurahisha au kunihuzunisha nalia.

Pia nikiwa kwenye maombi na Sala zangu za Kila siku machozi huwa yananitoka..
Hasa usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1584084393513.jpeg
 
Back
Top Bottom