Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka nimwimbie ule wimbo wa Sisqo u complete me,, si anaweza rudi kambi? Au nitazingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka nimwimbie ule wimbo wa Sisqo u complete me,, si anaweza rudi kambi? Au nitazingua
[emoji23][emoji23][emoji23]niambie Numby,au nimwimbie za kikorea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ugonjwa Kulikuwa na nafasi kubwa kuzuia tatizo ulafi wa pesa wa viongozi wetu,Ugonjwa ukianzia Africa inakuwa ngumu kupenya kwao wanajilinda mno.Kuna Nchi ukienda ukigundulika na ugonjwa wa kuambukiza usiokuwa na tiba ndani ya masaa 24unarejeshwa kwenu sisi tunacheka nao ngoja tuvune mabua.Hali inazidi kuwa mbaya
Kenya yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza wa coronaView attachment 1386747
Kuwa mgumu kama poti jaza lori la maua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niambie Numby,au nimwimbie za kikorea
Hujambo...Nimekuhamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugumu wa poti una mashaka ule, ngoja nifanye hvyoKuwa mgumu kama poti jaza lori la maua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona dav kakuvutia sana[emoji23][emoji23]hadi una save picha zake[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kufelisha harakati [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1386766
Aisee hii corona ni balaa
Ukiishi kwenye huu msingi hakika utaishi kwa amani sanaHakuna haja ya kufanya haraka, kwani ambalo umepangiwa kuwa lako daima litakufikia kwa wakati wake..
Ijumaa mubaraq wanafamilia!!
😁😁😁
Sio poaAisee hii corona ni balaa