Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali inazidi kuwa mbaya
Kenya yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza wa coronaView attachment 1386747
Huu ugonjwa Kulikuwa na nafasi kubwa kuzuia tatizo ulafi wa pesa wa viongozi wetu,Ugonjwa ukianzia Africa inakuwa ngumu kupenya kwao wanajilinda mno.Kuna Nchi ukienda ukigundulika na ugonjwa wa kuambukiza usiokuwa na tiba ndani ya masaa 24unarejeshwa kwenu sisi tunacheka nao ngoja tuvune mabua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…