D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
last born wengi wao walikuwa ni vikojozi....
Kila sehemu corona corona. Hapa nilipo mafua ya kutosha je kuna korona?
Huu ugonjwa Kulikuwa na nafasi kubwa kuzuia tatizo ulafi wa pesa wa viongozi wetu,Ugonjwa ukianzia Africa inakuwa ngumu kupenya kwao wanajilinda mno.Kuna Nchi ukienda ukigundulika na ugonjwa wa kuambukiza usiokuwa na tiba ndani ya masaa 24unarejeshwa kwenu sisi tunacheka nao ngoja tuvune mabua.
Hakuna haja ya kufanya haraka, kwani ambalo umepangiwa kuwa lako daima litakufikia kwa wakati wake..
Ijumaa mubaraq wanafamilia!!
Enyi mloamini, msizifuate nyayo za shetani.
Allah atujalie tuwe ni wenye kusimamisha swala mpaka mwisho wa uhai wetu..
Watford sent home three players from first-team training on Thursday after displaying signs of coronavirus.
The Hornets have tested the stars - one of whom had earlier this week self-isolated before appearing to recover before a relapse - with results due this afternoon.
The players will not return to their London Colney training ground until they are given the all clear.
Their training ground is next door to Arsenal's - which is now undergoing a deep clean after manager Mikel Arteta tested positive.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba acha basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hata sijaanza mzee?
#nimeacha
mwaka huu inshaalllah nitampa kura yangu.......@Daemusin njoo muone jamaa yako yeye kila kitu anaconnect na mambo yetu yale
Jizazi...Daemusin njoo muone jamaa yako yeye kila kitu anaconnect na mambo yetu yale View attachment 1386849