Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Aone Moud hapa 😀😀Na Kama mtu atanidanganya Basi anidanganye nikiwa nilishaolewa naye..sitaweza kuondoka Ila machozi yangu nadhani hayatamuacha bure.
Yaani anifanyie hivyo mtoto wa watu nimeruka vikwazo kibao aisee[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app