Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SI ulisikia alichosema kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone kuhusu kipa wake Jan Oblak baada ya mechi dhidi ya Liverpool? Kama ambavyo Lionel Messi anaweza kusaidia kushinda mechi basi hata ukiwa na Oblak golini anaweza kukupa matokeo.