Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa, achana na Simeone na Oblak, cheki hizi takwimu za kibabe za makipa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) msimu huu, maana kupitia takwimu hizi unaweza kujua ni kipa gani ana mikono 100 na ni ngumu kugusa nyavu zake.
 
Lakini, mara nyingi kipimo cha kipa bora, hupimwa kwa kuangalia takwimu na mara nyingi kucheza mechi nyingi bila kuruhusu nyavu zako kuguswa ni moja ya kigezo hutumika kumpata kipa bora, japo wataalamu wanaamini wakati mwingine kigezo hiki hudanganya.
 
Uamuzi huu wa Barcelona unaonekana kupokewa kwa mikono miwili na Bayern Munich ambayo sasa inajianda kumchukua jumla staa huyo wa zamani wa Liverpool ambaye ameshindwa kujihakikishia namba Nou Camp. Coutinho alinunuliwa Liverpool kwa Pauni142 milioni.
 
Back
Top Bottom