carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hata mimi nimeshindwa kuelewa kwakweli.Hii hadithi yetu ndefu ilikua ya kazi gani?
Hata mimi nimeshindwa kuelewa kwakweli.Hii hadithi yetu ndefu ilikua ya kazi gani?
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaoumia ni sisi watoa likes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... Bado najaribu kutafuta madhumuni yako ni yapi katika hili swala
Ni cleopatra kabisa 😂😂analazimisha tu uhandsome boyiii....
unataka kuniambia anne makinda ni beautiful onyinyeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushakuja sasa fujo haziishi
[emoji2089][emoji2089]
Alijisemeaga Aristoto au sijui nani....Avatar yako iko na bonge la Hendisam, hope u too uko hivyo au sio? SHIMBA YA BUYENZE
Naunga mkono hoja
😂😂😂 nipe hela nikuoneshe
Dah! Hiyo picha[emoji34]Alijisemeaga Aristoto au sijui nani....
Ulimbwende/Uzuri wa mtu/kitu umo machoni mwa mtazamaji...
Tangu nizaliwe kuna mwanamke mmoja tu ambaye alilia sana nimtandike mimba kwa sababu eti alitaka sana katoto kake kawe na sura yangu japo kwa mbali ili awe na kumbukumbu ya kudumu. Na kweli katoto nilimpa...na ni kalimbwende sana sana japo nadhani kamemfanana mama yake....
Nimejibu swali lako au bado niendelee?
Ngosha Ze Don himuselfu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1388171
[emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja
Hahah! Kwamba katika hii issue wewe bado na Zakayo hivyo kusadiki adi nikupandishe juu ya mti?
Hela zina COVID-19[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] nipe hela nikuoneshe
Kwahiyoo niseme ujinga gani nipate like nyingi zaidiUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Eeeh!!ndioo[emoji3][emoji3]Hahah! Kwamba katika hii issue wewe bado na Zakayo hivyo kusadiki adi nikupandishe juu ya mti?
Sasa ndio nini hiyo attachment uliyoweka? Sio vizuri ujue nilikuwa na mpango usiku nipike tambi asee sasa Nikinyanyua tambi si ntahisi ni vitoto vya nyoka.Alijisemeaga Aristoto au sijui nani....
Ulimbwende/Uzuri wa mtu/kitu umo machoni mwa mtazamaji...
Tangu nizaliwe kuna mwanamke mmoja tu ambaye alilia sana nimtandike mimba kwa sababu eti alitaka sana katoto kake kawe na sura yangu japo kwa mbali ili awe na kumbukumbu ya kudumu. Na kweli katoto nilimpa...na ni kalimbwende sana sana japo nadhani kamemfanana mama yake....
Nimejibu swali lako au bado niendelee?
Ngosha Ze Don himuselfu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1388171
Hahah!Hata mimi nimeshindwa kuelewa kwakweli.
Ni miaka 75 siyo 60 mkuu. Kama ni mimi unaniongelea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]mtu mwenye miaka 60 anakuwaje handsome?