Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hela zina COVID-19[emoji3][emoji3]
255629258281_status_6268dc09b1164902a84a4bd5bc6f750f.jpg
 
Alijisemeaga Aristoto au sijui nani....

Ulimbwende/Uzuri wa mtu/kitu umo machoni mwa mtazamaji...

Tangu nizaliwe kuna mwanamke mmoja tu ambaye alilia sana nimtandike mimba kwa sababu eti alitaka sana katoto kake kawe na sura yangu japo kwa mbali ili awe na kumbukumbu ya kudumu. Na kweli katoto nilimpa...na ni kalimbwende sana sana japo nadhani kamemfanana mama yake....

Nimejibu swali lako au bado niendelee?

Ngosha Ze Don himuselfu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1388171
Kama kweli ni wewe nimeshawishika
 
Sasa ndio nini hiyo attachment uliyoweka? Sio vizuri ujue nilikuwa na mpango usiku nipike tambi asee sasa Nikinyanyua tambi si ntahisi ni vitoto vya nyoka.

#uzurindioupomachonimwamtazamaji
#Emukapichabasikahuyomtoto/mlimbwende
#natakakuonakamayaliyomoyamo

Tambi we pika tu usiogope vinyoka bana...

#YaliyomoYamo[emoji817][emoji817][emoji817]
#NawezaKukuaminishaKwaKukuwekeamoPia
#NgoshaTheDonHimuselfu
 
Back
Top Bottom