Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu mimi sina kabisa kwakwelim mimi ujuzi wangu wanaishia kuogelea tu na kupunga upepo bustanini lakini sio kula tunda la mti wa kati [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuogelea na kupunga upepo?[emoji23][emoji23][emoji23]
#sijuinimewazawapi
#nakuonafundi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahah! Pesa haijawahi kushindwa na vitu vya kipuuzi kama hivyo, watu waliamua kushiriki tukio la ukaguzi wa vyeti wakagundua umri ulikosewa baada ya hapo walimlaani shetani maisha yakaendelea....

Yule kweli hashindwi tena akiona hiyo post watakua wamempa bonge la idea [emoji1][emoji1]
Akiiona atampa zawadi mwanzilishi wa hili wazo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante jirani
Poleni wakulima wote
FB_IMG_1583935304530.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • FB_IMG_1583935302490.jpeg
    FB_IMG_1583935302490.jpeg
    82 KB · Views: 7
Back
Top Bottom