carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nakazia
Nakazia
Hahah! Pesa haijawahi kushindwa na vitu vya kipuuzi kama hivyo, watu waliamua kushiriki tukio la ukaguzi wa vyeti wakagundua umri ulikosewa baada ya hapo walimlaani shetani maisha yakaendelea....Hiyo nadhani Ni utani
Ila yule mzee hashindwi kusema hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe Hadi viongozi wa dini walimsaidia kukanusha umri?
Mbinguni hawaendi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄hahah, naona unafuta ushahidi
Bado tupo sana tu..tupo busy na kulea sasa hividepal na ningendako wamesha achana?
couple nyengine bwana zimejaa vituko kama sembe
[emoji3][emoji3][emoji3] dah!
Mzee umeshanunua sanitizer?
Salamu za maendeleo na mafanikio ziwafikie ndugu zangu wapendwa wanaLikes [emoji8][emoji8]
Mnalea nini??Bado tupo sana tu..tupo busy na kulea sasa hivi
Haina mashiko