Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi Ni huyu aliyesema alikosea miaka yake,akawa amesaidiwa na mke wake na wakagundua kumbe alikuwa amejizidishia miaka?

Uganda Bora bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 mixer usaidizi wa viongozi wadini wakabaini umri ulikosewa .....

Ila kuhusu hiyo post yangu sina uhakika kama ni kweli au ni utani tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mixer usaidizi wa viongozi wadini wakabaini umri ulikosewa .....

Ila kuhusu hiyo post yangu sina uhakika kama ni kweli au ni utani tu
Hiyo nadhani Ni utani
Ila yule mzee hashindwi kusema hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe Hadi viongozi wa dini walimsaidia kukanusha umri?
Mbinguni hawaendi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom