Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kaeni nao karibu wapenzi wa liverpool, kwa jisi matukio ya dunia yalivyowakalia vibaya wanaweza kujidhuru wenyewe.

wengine wamekopa pesa za vikundi

wengine wameahidi kuoa mke mwengine kama watabeba ubingwa.

wengine wamejiwekea dhamira ya kuolewa na mtoto wa kiume wa Mungu
 
Back
Top Bottom