Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kaeni nao karibu wapenzi wa liverpool, kwa jisi matukio ya dunia yalivyowakalia vibaya wanaweza kujidhuru wenyewe.

wengine wamekopa pesa za vikundi

wengine wameahidi kuoa mke mwengine kama watabeba ubingwa.

wengine wamejiwekea dhamira ya kuolewa na mtoto wa kiume wa Mungu
Ubingwa Ni wetu tu.
IMG-20200314-WA0012.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kugombana na mwanafuzi wakiume wakati nipo o level nikambinya huko alinikwida shingo alininyonga angeongeza sekunde 30 angeniua
Yani hadi Leo nawaheshimu wanaume
Mara ya mwisho kubanwa na zipu nilikuwa praimari ila maumivu yake bado nayasikiliziaga sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom