The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
ndio nani?Mimi nina link za kina Johnny sins
nataka nianze na secret romance[emoji1][emoji1][emoji1]
πππ njoja aje hapa anifundishe alifanyaje fanyaje yani mpaka ikawa hivyo, nikijua na mimi nitamuwezesha mtu hapa aanze kuchagua vyakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee kajilia vya uvunguni
Kumbe ni hatua kubwa ya kupongezwa? Hongera zakeKwa hatua aliyofikia mkuu
Pale mwalimu anapooomba mbinu toka kwa mwanfunzi wake...chiiπππππππππ njoja aje hapa anifundishe alifanyaje fanyaje yani mpaka ikawa hivyo, nikijua na mimi nitamuwezesha mtu hapa aanze kuchagua vyakula
dah, mpaka nikuje telegram sioMimi nimeipakua kutoka channel ya telegram
Kwamba hadi wewe mwalimu huu utaalam huna??[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] njoja aje hapa anifundishe alifanyaje fanyaje yani mpaka ikawa hivyo, nikijua na mimi nitamuwezesha mtu hapa aanze kuchagua vyakula
[emoji23][emoji23][emoji23]Pale mwalimu anapooomba mbinu toka kwa mwanfunzi wake...chii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haikuwa kimasihara mzee mwenzangu [emoji23][emoji23][emoji1][emoji1] Mzee upo deep zaidi kumbe adi tunda ulishakula kimasihara?
dah, mpaka nikuje telegram sio
Haikuwa kimasihara mzee mwenzangu [emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£ wanafunzi wa siku hizi hawa ni hatari sana yani wanafanya vitu kiukweli...... kwakweli nimempa Chaki na vitabu mimi naenda kushona sare nianze kuingia darasaniPale mwalimu anapooomba mbinu toka kwa mwanfunzi wake...chiiππππππ
Huu mimi sina kabisa kwakwelim mimi ujuzi wangu wanaishia kuogelea tu na kupunga upepo bustanini lakini sio kula tunda la mti wa kati ππππππKwamba hadi wewe mwalimu huu utaalam huna??[emoji23][emoji23]
Amekwiva huyu jamaa wacha tumuachie timu sasa πππKwamba ilikuwa planned au sio?[emoji3][emoji3]
Kuogelea na kupunga upepo?[emoji23][emoji23][emoji23]Huu mimi sina kabisa kwakwelim mimi ujuzi wangu wanaishia kuogelea tu na kupunga upepo bustanini lakini sio kula tunda la mti wa kati [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hata mimi nimeona[emoji23][emoji23]Amekwiva huyu jamaa wacha tumuachie timu sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ mmekua kabla yetu mzee, hongera zenu sanaHaikuwa kimasihara mzee mwenzangu [emoji23][emoji23]
Akiiona atampa zawadi mwanzilishi wa hili wazo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah! Pesa haijawahi kushindwa na vitu vya kipuuzi kama hivyo, watu waliamua kushiriki tukio la ukaguzi wa vyeti wakagundua umri ulikosewa baada ya hapo walimlaani shetani maisha yakaendelea....
Yule kweli hashindwi tena akiona hiyo post watakua wamempa bonge la idea [emoji1][emoji1]