Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waambie tunakujua kwa jina la Stella wa Mwakaleli[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nyie mtasababisha ndugu zangu wanigundue humu[emoji1787][emoji1787]
Ni dada yangu MMoja tu ana app ya jf . Nayo huwa anaingia Kama guest..wengine wote hawako interested nayo...na Mimi siishi kuwatumia habari za humu kwenye grp letu la familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa mfano nikakukopesha 100tzs na makubaliano Ni kunipa 500tzs siku ya kurejesha
Na nikanunua bidhaa kariakoo kwa 100tzs ,nikaja kukuuzia wewe tmk 500tzs..
Kuna tofauti gani hapo?
Mbona zote Ni upigaji tu.

Weka dini pembeni..nimeuliza swali la kawaida tu Bila kwenda kwenye dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ipo, hiyo ya pili unalipia nguvu zako mfano kutembea kuifuata hiyo bidhaa, kutembea kumfuata mtumiaji hata kama unauzia sehemu moja ule muda ubaokaa kusubiria mtu aje anunue unafanyia kazi hiyo faida. Tofauti na riba, ile pesa ya juu analipia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatokaa waamini.
Kuna mmoja juzi nilikuwa namuhadithia juu ya yule kijana aliyejinyonga..ati ananiulizia unatumia jina gani jf..nikaishia kucheka tu.
Ila akiingia atanigundua tu maana hili Anne sometimes huwa wananiita nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana yupi
 
Mda unaongoja ulipwe nayo si ndio faida ya kukopesha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatokaa waamini.
Kuna mmoja juzi nilikuwa namuhadithia juu ya yule kijana aliyejinyonga..ati ananiulizia unatumia jina gani jf..nikaishia kucheka tu.
Ila akiingia atanigundua tu maana hili Anne sometimes huwa wananiita nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi dada yangu hayupo Jf ila kuna kipindi nilimuonyeshaga nyuzi za humu na username yangu nilimwambia. Siku akimiliki smatfon kwisha habari yangu

Ila anaweza asikumbuke..
Mimi kila siku wananiona nasoma habari jf. ..simu yangu haina hata password,kwa hiyo wakiamua kuchukua na kuangalia wanaweza
Ila naona hawako interested kabisa na jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kazi gani kwenye kungoja? Unaweza ukakopesha ukaenda kulala unasubiria malipo...hapo umedhulumu maana hakuna kazi uliyofanya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaoomkopesha mtu hela unafanya opportunity cost.
Unaforgone vitu vingine kwa ajili ya kumkopesha mtu
Ni sawa tu na anayenunua bidhaa mwanjelwa kwa shilingi Mia na kuniuzia uyole Mia tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji123][emoji123][emoji123]
FB_IMG_1584218203284.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom