moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sema ukweli wako mpendwa ati mi nina chombo kwenye huu uzi?
Wanaobisha wapambane na Hali zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This is Liverpool
Hivyo sio vizurNascreenshot namtunzia
Waache ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]Wanataka kutumia kisingizio cha Corona ili tunyimwe Kombe letu. FA wameshaliona hilo.
Timu zote zinazoifukuzia Liverpoo kwa mbali tulizifunga.
Watupe Ubingwa wetu tukajifiche kwenye Karantini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kina Davet hao wanapenda kukusingizia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema ukweli wako mpendwa ati mi nina chombo kwenye huu uzi?
Hivi kwa mfano nikakukopesha 100tzs na makubaliano Ni kunipa 500tzs siku ya kurejeshaMpaka hapo Uislam umekushinda,
Umeenda kanisani leo?
Umri wa dada yangu wa pili.1980 parefu, 40 si haba.
Hongera muhenga mwenzangu
Waache ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mechi zilizobali hata tusipoingiza wachezaj uwanjani ,tukawaacha timu pinzani wacheze pekeyao bado ubingwa Ni wetu.
Kwa point tulizonazo hakuna haja ya kumalizia kucheza..
Wasitutanie[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungu la kukosa....Waache ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mechi zilizobali hata tusipoingiza wachezaj uwanjani ,tukawaacha timu pinzani wacheze pekeyao bado ubingwa Ni wetu.
Kwa point tulizonazo hakuna haja ya kumalizia kucheza..
Wasitutanie[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wa dada yangu wa pili.
Kuna watu humu mnajitia wazee Sana ,kumbe Ni Kaka zetu na dada zetu tu[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungu la kukosa....
Ndo imetoka hiyo. Mtapewaje kombe bila kushinda kihalali kwa kucheza michezo yote? Wacheza rede bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Itabidi msubiri tena baada ya miaka 30...
You will walk alone dadeki !!!![emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]

Nachokoza Mwakaleli hapo....
[emoji7][emoji7][emoji7]Asante Sana.
UtuacheFungu la kukosa....