Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SYB anajua kila kitu kwa usahihi wake ni vile tu wafia vyama vyao wanachotaka ni kusifiwa, na kuvishwa vilemba vya ukoka
Yaani atoke ghafla huko na kupewa nafasi hiyo ya ugombea urais!?.
Nadhani brother SYB aliongea kwa kujifurahisha tu.
CDM talanta waliyonayo Ni mbowe tu,Kama wanaweza wamsimamishe Tena huyu jamaa .
Nje na hapo,wakicheza mchezo walioucheza 2015 urais wataendelea kuusikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom