Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SYB maneno mengi na kujimwambafai tu. Kiboko yake fisi...

Kwema huko kwako?

2.26478474573263411E18.jpg
 
Biashara imehalalika, riba imeharamika.
Kwenye biashara unaweza kununua kwa sh 100 na ukauza kwa sh 1000 hakuna tatizo.
Tatizo lipo kwenye RIBA
Duh! Kama ni hivyo kuna atakayepona? Mbona hata katika biashara dhana ni ile ile...unanunua kwa bei ya chini halafu unauza kwa bei ya juu?
 
Wajanja wanajua kuna washamba zaidi ya mia moja kwa siku wanafika sokoni hapo kufanya utalii wa bure.
Wanachofanya ni kuchukua Mrahaba kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya kwanza Msukuma nimefika Dar nikaomba wanipeleke katika soko la Kariakoo nikatoe ushamba. Uwii kufika mtaa wa Kongo wajanja wakataka kuniibia pesa zangu za mauzo ya nyanya na dengu zangu. Tangu siku hiyo huwa napita hapo kwa uangalifu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yakupasa ulijue hilo.
Wanaume wenye hela zao ni watu kama walivyo watu wengine, akiwa na sura mbaya, shepu mbaya pia anajijua, ila huwa wanashangaa wanavyokabiliana na mitego ya warembo isiyo na kichwa wala miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23] wewe acha kutuharibia..
 
Hahahahahahahaha, ndiyo maana nimesema kuna mabint zako hapa kamanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usipende kujuana juana sana na memba wa uzi huu, unaweza kuja kuona aibu mkikutana kwenye vikao vya kifamilia[emoji23][emoji23]
Anaza pyua andaeitini ini da hausi [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom