Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkanganyiko tupu yaani. Wamarekani wameshapaniki balaa. Madukani huko hakuna toilet paper, maji hata madawa ya kawaida. Ni kusukumana aisee. Kila unakokwenda kuna hand sanitizer na medicated wipes. Shule zimefungwa na vyuo vingi vinahamishia madarasa mtandaoni. Makazini huko watu wwnaombwa wafanyie kazi majumbani. Tuombe Mungu nyumbani kwetu isifike na inafurahisha wataalamu wanasema kuwa kirusi chenyewe hiki hakiwezani na hali ya joto. Labda hiyo itatuokoa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kutuma kapicha ka mtoto mahali hapa!!!?
Unaweza kuta baba, mama na mtoto wote wako hapa wanagonga likes bila kujuana na huku mkitaniana
Sasa ndio nini hiyo attachment uliyoweka? Sio vizuri ujue nilikuwa na mpango usiku nipike tambi asee sasa Nikinyanyua tambi si ntahisi ni vitoto vya nyoka.

#uzurindioupomachonimwamtazamaji
#Emukapichabasikahuyomtoto/mlimbwende
#natakakuonakamayaliyomoyamo
 
Soko dogo la Kariakoo
FB_IMG_1584203385360.jpeg
 
Siku ya kwanza Msukuma nimefika Dar nikaomba wanipeleke katika soko la Kariakoo nikatoe ushamba. Uwii kufika mtaa wa Kongo wajanja wakataka kuniibia pesa zangu za mauzo ya nyanya na dengu zangu. Tangu siku hiyo huwa napita hapo kwa uangalifu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kutuma kapicha ka mtoto mahali hapa!!!?
Unaweza kuta baba, mama na mtoto wote wako hapa wanagonga likes bila kujuana na huku mkitaniana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta hata Mtanashati na Esta ni familia moja. Mambo ya anonimazi haya ni hatari tupu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom