Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna kitu uligusa hapo chini kina maumivu makali sana.
Ukitaka kupatwa na majaribu gusagusa maeneo hayo bila sababu ya maana[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Niliwahi kugombana na mwanafuzi wakiume wakati nipo o level nikambinya huko alinikwida shingo alininyonga angeongeza sekunde 30 angeniua
Yani hadi Leo nawaheshimu wanaume
 
Pole sana aisee. Nimecheka kama vile mazuri. Siku nyingine ukimbinya mwanaume huko basi jiandae kwa lo lote kwa sababu maumivu yake hayavumiliki. Kuna jinsi ya kumbinya mpaka anapoteza fahamu. Wanawake huwa wanafundishwa kwenye kozi za kujilinda....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1583988877858.jpeg
 
Kuna kitu uligusa hapo chini kina maumivu makali sana.
Ukitaka kupatwa na majaribu gusagusa maeneo hayo bila sababu ya maana[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom