Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duuu, urais siyo mwepesi kihivyo kamanda.
Wafanye kazi ya ziada, Afrika hakuna urais mwepesi kuupata kwa mgombea aliye nje ya mfumo, ingawa mara chache hutokea hivyo.
Yaani atoke ghafla huko na kupewa nafasi hiyo ya ugombea urais!?.
Nadhani brother SYB aliongea kwa kujifurahisha tu.
CDM talanta waliyonayo Ni mbowe tu,Kama wanaweza wamsimamishe Tena huyu jamaa .
Nje na hapo,wakicheza mchezo walioucheza 2015 urais wataendelea kuusikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wanajua moja kwa moja ni helaaa tumefata?
Yakupasa ulijue hilo.
Wanaume wenye hela zao ni watu kama walivyo watu wengine, akiwa na sura mbaya, shepu mbaya pia anajijua, ila huwa wanashangaa wanavyokabiliana na mitego ya warembo isiyo na kichwa wala miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
[emoji54][emoji54] si nitapata kesi ya kuua duu aisee hatari
Pole sana aisee. Nimecheka kama vile mazuri. Siku nyingine ukimbinya mwanaume huko basi jiandae kwa lo lote kwa sababu maumivu yake hayavumiliki. Kuna jinsi ya kumbinya mpaka anapoteza fahamu. Wanawake huwa wanafundishwa kwenye kozi za kujilinda....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May the flowers remind us why the rain was so necessary 💐 💐
images (2).jpeg

A good day to y'all 😘😘
 
Back
Top Bottom